Meneja wa Azania Bank tawi la Mbauda akimalizia hatua katika mbio za Safari marathon,mshiriki huyu ndiye pekee alikuwa mwenye umri mkubwa kwa upande wa changamoto za shirika .Alitumia dakika 40 kuhitimisha mbio zake na kuzawadiwa mapumziko ya siku mbili katika hotel ya New arusha hotel na waandaaji wa Safari marathon.
Afisa Masoko kanda ya kaskazini Bhoke Jackson akimalizia hatua za mwisho katika mbio za Safari marathon zilizo fanyika jijini Arusha.
Maafisa wa benki ya Azania walioibuka vinara dhidi ya wenzao katika mbio za kasi zaidi kwa jinsi ya kiume waliopo Benki ya Azania, kulia ni mshindi wa kwanza Mohamed Goagoa,mshindi wa pili Jumanne Lucawa na mwingine ni Afisa masoko tawi la Mbauda Salim Msangi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...