Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira Mmambe akipeana mkono na mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Narumu,Deodatus Nyoni mara baada ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira Mmambe akipeana mkono na mkuu wa shule ya sekondari Narumu,Sister Joyce Mboya mara baada ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira Mmambe katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kidato cha nne waliohitimu katika shule ya sekondari Narumu iliyopo wilayani Hai.
Hii ndio CSR inayotakiwa..nawapongeza sana Azania na najivunia kuwa na akaunti azania. Basi juhudi kama hizi zilenge pia nymba za ibada na skuli za dini bila kubagua.
ReplyDelete