Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia wa SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akitoa maelezo kwenye uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi mzima wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania { TCRA } mara baara ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali nchini mara baada ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
Watoto wa Skuli ya Maandalizi wa Jang’ombe wakitoa burdani safi ya nyimbo ya Kyaso katika hafla ya uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...