Home
Unlabelled
BEN KINYAIYA with KOFFIE OLOMIDE@MAMALAND SHOW.!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Constructive critics:
ReplyDeleteUnajua kupata muda wa kuongea na kati mmoja ya wanamuziki mahiri na wakubwa africa ni nadra sana haswa wakongwe kama Koffi!
Ushauri wangu ni kuwa kwa kuwa mtu huyu kiingereza sio lugha yake nadhani mmepoteza nafasi nzuri ya kumuuliza maswali mengi na ya maana. Pili hata nyie mnaemuuliza kama vile kuna tatizo la lugha sana tuu au hamkujiandaa vizuri kufanya maongezi na Koffi.
Hivyo basi ni vizuri mngetumia lugha ya kiswahili alafu muwe na mtafsiri ambaye anaongea kifaransa au lingala (lugha ambazo naamini Koffi anaziongea bila shida) ambao najua sio shida sana kuwapata hapo bongo.
Kwani Patcho Mwamba alikuwa wapi?
ReplyDeleteKitu kimoja Koffi kakiongea kuhusu wanamuziki wa Tanzania,wakitaka kufanikia lazima wawe wenye kujiamini,sio kuwa na kasumba za kuiga nje,neno hili nimewahi kumsikia
ReplyDeletemwanamuziki moja wa tanzania nadhani anaishi ujerumani alikuwa akihojiwa na kusisitiza kuwa wanamuziki wa Tanzania lazima wajiamini wenyewe.
Sasa nakubaliana