chuo kipya cha Veta kinachotoa kozi za hotel na utalii /Diploma kilichopo njiro Arusha, kwa wale wanaotaka kujiendeleza au kupata ujuzi huo wanaweza tembelea. www.facebook.com/VetaHotelAndTourismInstitute

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana. Niliwaona banda la VETA saba saba. Kazeni buti tuleteeni vijana wazuri kwenye ajira sio kazi zote nzuri sekta ya utalii ziishie kwa wageni.

    Che

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...