Diamond akicheza na mashabiki wake staili ya Ngoloo ngoloo ndani ya hoteli ya Gold Crest ilioko katikati ya jiji la Mwanza .
Baadhi ya akina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya Warembo,Diamond Platnum alipokuwa akitumbuiza usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Baadhi ya Mashabiki wakiburudishwa na mwanamuziki nyota anayetamba kwa sasa kwenye anga ya muziki wa bongofleva,Diamond ndani ya hotel ya Gold Crest usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza.
PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...