Mafunzo ya ufundi viatu (Footwear Pattern Engineering) kwa kutumia kompyuta (e-learning) yanayowanufaisha wajasiriamali wengi
Wajasiriamali toka kila sehemu ya Tanzania wakipata mafunzo ya namna ya kusindika na kuchakata ngozi kwa njia za asili na kisasa.
Wajasiriamali katika mafunzo ya vitendo ya kutengeneza viatu vya ngozi. Mafunzo haya yameleta ajira binafsi kwa vijana wengi na kuwainulia hali ya uchumi.
Pole na majukum bwana michuzi aisee mimi ni mmoja sana kati ya wengi ninatafuta sana namna ya kusindika ngozi na kutengeneza viatu bwana michuzi naomba mawasiliano ya hawa DIT utakuwa umenisaidia sana nahitaji sana kuonana nao ili nipate utaalam wa kusindika ngozi na kutengeneza viatu kwa majibu yako nitafanikiwa no 0787374058 /asante by Mollel kutoka arusha
ReplyDeleteMimi nahitaji uelewa nama yakuchakata ngozi mpapa kufulia kuuza
ReplyDelete