Gari hii aina ya Fuso engine 6D16, usajiri T 251 BSG. imetumika muda mfupi na ipo ktk hali nzuri bei 40m. mazungumzo yapo. 
contact 0787 202075 au 0655202075 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mjomba Michuzi,

    Unazi wako wa Bwawa la maini hadi kwenye mauzo ya Mafuso?

    ReplyDelete
    Replies
    1. mi natafuta fuso ila kwa hilo neno hapo mbele wala silitaki tena.

      Delete
  2. hata ukikataa hilo neno ndio ukweli,

    ReplyDelete
  3. hahahahaaaaaaaaaa anonymous said leo kachangia mada ,,, HILO NENO HATA UKILIKATAAA UTARUDI KWAKE TUUU WATAKA HUTAKI

    ReplyDelete
  4. weye hujashindwa jina nia yako wataka kunuuna baskeli sio fuso

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...