Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa na diwani wa kata ya Nzihi Bw Stivin Mhapa kushoto akimpongeza Bw Jackson Kiswaga kwa kujitolea kusaidia elimu shule aliyosoma ya Nyamihuu jimbo la Kalenga |
Baadhi ya wahitimu wa darasa la saba katika mahafali ya 34 shule ya Msingi Nyamihuu wakisikiliza ahadi ya Bw Kiswaga ya kusomesha watoto watatu elimu ya sekondari |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...