Mtalamu wa mambo ya Habari kutoka Smole Bw. Ali Rashid Salim akifahamisha kitu katika mafunzo ya wandishi wa Habari juu usajili wa Ardhi,katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo.
Afisa mtambuzi wa Ardhi Unguja Shawana Soud Khamis akitoa elimu ya Utambuzi, kuisajili na kuitumia Ardhi kwa wandishi Habari katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo.
Baadhi ya wandishi Habari wa vyombo mbalimbali wakisikiliza kwa makini mafunzo yanayotolewa na Mtalamu wa mambo ya Habari kutoka Smole Bw. Ali Rashid Salim (hayupo pichani) katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...