Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akikata utepe, kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mafia, anayeshuhudia nyuma ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu.
Ukaguzi wa jengo baada ya uzinduzi rasmi. ( picha na, Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...