DSC_0266
Rais wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete alipokutana na mpiganaji SundayShomari wa VOA siku ya Jumatano kwenye ofisi za ubalozi washington Dc. DSC_0244
Rais Kikwete akiwa na Katibu wa CCM-DMV Bw.KinyemiDSC_0250
Rais Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo.DSC_0264
Rais Kikwete akiwa na Dr.Mwamoyo Hamza mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA
. DSC_0256
Rais Kikwete na mchungaji Kadjolo.DSC_0158 (1)
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania. Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa



  1. Nice president hao hao ndio wanahitaji kusikilizwa wengine woote waacha wapige kelele kwani wale waliopo mvomero wanakupa nini?? au wanafaida gani kwa domestic profic after 2 years unasepa zako hakuna shida na mtu,,, piga kazi sana raisi

    ReplyDelete
  2. YAANI KWELI KUKU NI KITU KIZURI EMBU ANGALIA HIYO PICHA YA MWANZO YA MH. JK, NA SUNDAY SHOMARI ,KWA KWELI JK NI MKUBWA KWA UMRI HATA ZAIDI YA MIAKA 10 NA USHEE LAKINI SUNDAY SHOMARY ANAONEKANA KAMA YEYE NDIO MZEE KULIKONI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...