Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, leo amekutana na wazee waasisi wa Jumuia hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa na mazungumzo ya kina na waasisi hao.Pichani, Mapundfa (kushoto) akiwasikiliza waasisi hao. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Mfaume Ally Kizigo. (Picha na Bashir Nkoromo).
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Sixtus Mapunda akutana na waasisi wa UVCCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Katibu Mkuu umeanza vizuri kazi zako kuwahusisha wazee waasisi katika vikao vya mara kwa mara ni muhimu saana mchanganyiko wa mawazo ya wazee waasisi wa Zamani na mawazo ya vijana wa kizazi kipya kutatufikisha katika malengo,
ReplyDeleteunatakiwa pia kuzunguruka mikoa na wilayani-vijijini kuwasikiliza wazee na kuwapata misaada kufuataana maombi ya mhs Nauye ccm kuwasaidia wazee wametoa mchango mkubwa wa kujenga ccm na taifa.
mikidadi-denmark