Home
Unlabelled
KISIWA CHA SAANANE CHATANGAZWA RASMI HIFADHI YATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sijui lini msitu wa SHENGENA utakuwa hifadhi ya taifa. Mwenyezi MUNGU asikie kilio chetu wananchi wa SAME.
ReplyDeleteHicho kisiwa wengine hatukijui, hebu tupe historia yake ni kwa nini kinaitwa saanane, kiko wapi na kina vivutio gani?
ReplyDeleteHatukatai kupanda daraja kwa jisiwa hicho lakini kimeshushwa thamani ya huduma kwa mtanzania tangu kilipo ingizwa hukooo TANAPA. Nakumbuka tukiwa wadogo tulikuwa tukienda kujirusha huko siku za sikukuu kadiri uwezavyo ilimradi tuu uwe na senti zako kwa ajili ya nauli ya boat. Lakini sasa hali imekuwa utata, tulitaka kutembelea huko mwaka jana tukakutana na vikwazo hadi tukabaki midomo wazi, kwanza tuliambiwa tukodi boat kwa elfu hamsini, nilishangaa maana tulipokuwa watoto miaka hiyooo ya sabini na mbili hadi themanini haikuwa hivyo. Jee kizazi cha leo chenye asili ya Mwanza kitaweza kuingia huko kwa hali hiii? Tunaomba serikali iturejeshee starehe yetu ya asili wanetu na wajukuu zangu wafaidi rasilimali zetu isiwe kwa wahindi tuuu kula raha za taifa letu. Ahsante
ReplyDelete