Dr. Ann Vndok wa Kliniki ya Tiba ya asili iliyopo katika Mtaa wa Vikokotoni akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif namna wanavyotoa huduma zao katika maadhimisho ya siku ya Waganga wa Tiba asili Afrika Hapo Victoria Garden Mnazi Mmoja.
Wataalamu wa Kliniki ya Tiba asili waliopo Vikokotoni wakiwa pamoja na Mrajiri wa Tiba asili Zanzibar Dr. Haji Kundi katika hafla ya maadhimisho ya siku ya Waganga wa Tiba asili Afrika.
Balozi Seif akiangalia baadhi ya dawa Za Mwasele Herbalist Clinic ya Kikwajuni Weless kwenye maonyesho ya dawa za asili katika maadhimisho ya siku ya waganga wa tiba asili Afrika hapo Victoria Garden MnazI Mmoja Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akifurahia baadhi ya dawa na mafuta mbali mbali yaliyotengenezwa na huuzwa na wajasiri amali wa dawa za asilia wa Meli Nne wakiongozwa na Bibi Salma Khamis Mohd.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...