Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Wazanzibari wanaoishi Tanga, katika ukumbi wa Tangamano jijini Tanga.
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Tanga wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa Tangamano jijini Tanga, leo tarehe 27/09/2013. (picha na Salmin Said, OMKR)
Taarifa ilikuwa isomeke "Maalim Seif akutana na Wapemba waishio Tanga" maana ndio sahihi.
ReplyDeletePia iwapo hawa jamaa wameamua kuishi Tanga sasa kuna haja gani ya wao kuwa na vitambulisho vya kupigia kura vya Wazanzibar? Hata wakiwa hapo kura watapiga tu kwa vile ni Watanzania au ni lazima wapige kura inayomhusu Maalim Seif?
Tuachane na ubinafsi.
Suluhisho ya yote haya ni Serikali moja tu
ReplyDelete