Tamasha la 32 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2013,limekuwa likichukua sura mpya kadri siku zinavyokwenda,huku makundi mbali mbali ya sanaa na utamaduni yakiendelea kutoa burudani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankali, naona globu ya jamii imejibu kiu ya wanablogu ndani ya saa 24, asanteni Ankal na wadau wote wa tamasha la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...