Ndugu JOSEPH MACHELE kupitia ndugu ISSA MICHUZI(Na Michuzi Blog)...Salaamu!Awali ya yote niwape pole ya majukumu yenu binafsi na ya kitaifa.

Ndugu zangu, nimefurahi sana leo kuona kwenye blog yako kuhusu usalama wa ndugu zetu wanaoishi Mexico kufuatia kimbunga kilichoikumba Marekani.

Mimi niko kwa sasa Marekani kimasomo katika Jimbo la IOWA katika Chuo Kikuu hapa.Ni mpenzi mkubwa wa kupata taarifa za nyumbani na kwingineko kupitia blog hii maalufu ambayo waTanzania wengi wa hapa Marekani tunaitumia kwa kupata habari za nyumbani.ASANTE KWA HILI.

Naomba kukutanishwa na ndugu yangu aliyetajwa na Joseph Machele kuhusiana na usalama wao kutokana na kimbuka cha Marekani kwamba yuko na wako SALAMA.

Mtu huyo aliyetajwa kwa jina NYABENDA MPORAKUMUGERO ni ndugu yangu yaani MJOMBA.Pia kwa kuongezea zaidi ni kuwa anaitwa LEONIDAS NYABENDA NGENZEBHUKE MPORAKUMUGERO.

Nitafurahi sana kama nikimpata kwa mawasiliano hasa baada ya kuona katajwa kwenye sehemu hii ya Michuzi blog. Nitafurahi kumpata na kuwasiliana naye;

Email yangu ni kibambizi@gmai.com.Nitatoa namba yangu ya simu nikipata email yake na kuwanza kuwasiliana.

ASANTE;
Deo'Gracias Kibambizi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hola, estoy en busca de algún familiar, de Nyabenda mporakumugero MUHITIRA, es mi suegro, perdió todo contacto con su familia en Tanzanía, el vino a estudiar a México, si alguien me pudiera ayudar a encontrar algún familiar se los agradecería de todo corazón, gracias y bendiciones

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...