Baada ya Ney wa Mitego kumdisi Haji Ramadhani kwenye wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Salam zao,Haji sasa anasema hajafuria na anaishukuru BSS na huu ni wimbo wake mpya aliofanya chini ya studio za Jaraman Record iliyopo kinondoni na video chini ya Apex Video by Pablo.
Haji anapenda kuwafahamisha mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwa sasa anaandaa Movie yake ya kwanza ambapo ni moja ya kuonesha uwezo wake kwenye upande wa kuigiza. Nashukuru Mungu Video yangu ina wiki moja mpaka sasa na inafanya vizuri kwenye Tv stesheni za Tanzania na nnje pia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...