Home
Unlabelled
msondo ngoma ndani ya leaders club jijini dar kila ijumaa moto!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shukrani kwa globu ya jamii na Ankal kwa kutupatia vitu adimu vya muziki wa dansi.
ReplyDeletePia nawaomba wenye bendi wasiwe wachoyo turuhusu kupigwa video live na kisha wadau kutupia ktk youtube maana hii ni promo tosha kwa washabiki kujua kuwa bado mpo ktk gemu na pia hata wafadhili/wadhamini kujitokeza kuwabeba kama wanavyo wabeba wasanii wa kizazi kipya kutokana na kizazi kipya kujipigia promo kwa sana.
Mwisho nawashukuru na kuwapongeza sana Baba Ya Muziki wa Dansi a.k.a Msondo Ngoma kwa kukipiga kibao hiki kwa jina ''Fatuma'' live kama ilivyokuwa inasikika vizuri kupitia Radio Tannzani Dsm a.k.a RTD.
Mdau
Muziki wa Kweli