Ndugu Francis Joseph Assenga ambaye ni mfanyakazi katika Benki Kuu ya Tanzania (katikati) mara baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za Rais wa UNI Africa Professional & Managers na Vice-President UNI Global Professionals & Managers Committee kwenye Hotel ya Hilton Mjini Nairobi. Kulia kwake ni Rais wa Kamati ya Dunia Bwana Ulf Bengtsson akifuatiwa na Mkurugenzi wa UNI Global Professionals & Managers Bwana Pav Akhtar na Kushoto kwa Bwana Assenga ni Makamu Rais UNI Africa Professional & Managers  Mama Olasanoye Oyinkan kutoka Nigeria, akifuatiwa na Wagombea wengine wa Urais ambao ni Ousmane Diagne kutoka Senegal na Pierre Louis Mouangue kutoka Cameroun. 
Ndugu Francis Josseph Assenga (kushoto) akipongezwa na Mwakilishi wa Rwanda Bwana Alexis  kwenye Mkutano wa Bara la Afrika wa Kamati ya Wataalam na Mameneja na Makamu wake Olasanoye Oyinkan wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa UNI Africa Professional & Managers kwenye Hotel ya Hilton Mjini Nairobi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mhhhhh kaka yangu nimekuvulia kofia..yaani kumbe nilikuwa naongea na kucheka na almasi au dhahabu iliyokuwa imejichimbia mchangani inasubiri siku na saa mkulima apige jembe kuiweka hadharani...hongera sana na nakuombea kwa mungu akuongoze ili utuwakilishe vizuri...God bless you my brother

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...