Pichani ni Mwanadada Irene ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye anga ya Bongo Muvi,hapa alikuwa kwenye lokesheni,akiigiza kwenye moja ya filamu yao mpya na Muigizaji mahiri kutoka nchini Ghana, aitwaye Van Vicker,kama walivyonaswa a Globu ya jamii mapema mchana huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar.
 Pichani kulia ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania,TAFF akiwa sambamba na baadhi ya Waigizaji wa filamu hapa nchini,Irene na mdau sambamba na Muigizaji mahiri wa filamu kutoka nchini Ghana,Van Vicker wakijiandaa kushut muvi yao mpya,ambayo bado jina lake halijawekwa hadharani,wakiwa kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo mchana.
Pichani ni Mzee Hasheem Kambi akiwa na kimwana Irene wakiwa lokesheni wakiigiza kwenye moja ya filamu yao mpya ambayo hawakuitaja jina,huku mkali wa kuigiza kutoka nchini  Ghana,Van Vicker akiwa lokesheni wakiigiza kama walivyonaswa na camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana kwenye uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo mchana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mkono huooo!!! Jamaa kashindwa jizuia. Can't blame u bro

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...