Mkazi wa jimbo la Kalenga Bw Jackson Kiswaga kushoto akiwa na wafanyakazi wa Hospital teule ya wilaya ya Iringa -Ipamba |
Diwani wa viti maalum tarafa ya Kalenga Bi Shakra Kiwanga kushoto akitoa hotuba ya pongezi kwa Bw kiswaga |
Bw Jackson Kiswaga akipokea taarifa ya Hospital teule ya wilaya ya Iringa kutoka kwa mganga mfadhiwi wa Hospital hiyo |
wafanyakazi wa Hospital teule ya Iringa wakimpongeza Bw Kiswaga kwa msaada wa viteanda |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...