Timu ya Globu ya Jamii imeweza kumtembelea Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa Kiafrika,Jhiko Man mwenye makazi ya Mjini Bagamoyo mkoani Pwani na kufanya nae mahojiano mafupi juu ya Muziki wa Kitanzania na Kiafrika kiujumla.
Home
Unlabelled
Mwanamuziki Jhiko Man alonga na Globu ya Jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana Jhikoman tunakusubiri kuona tamasha lako huku Scandinavia
ReplyDeleteMoja ya majanga makubwa ambayo Tanzania inaishi nayo ni dhana ya kuishi kwa njia za mkato. Ukisikia muziki wa Jhiko, unashangaa ni jinsi gani kama jamii imeshindwa kutambua kilicho bora na kung'ang'ania mataka taka.
ReplyDelete