Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi Dar es Salaam (DART), ya Strabag, wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia makao makuu ya kampuni hiyo, Ubungo, Dar es Salaam asubuhi hii baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwafungia nje, kutokana na mgomo wa kudai maslahi zaidi kufanyika jana.
Chanzo BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama mnako kwingine kwa kuajiriwa si muondoke? mgomo wa nini? Mtu unakabithi barua yako ya kuachia ngazi.

    ReplyDelete
  2. Mafao Zaidi? hii inachekesha ...hii inatokana na Poor feasibility ,unapopewa Project basi lazima udesign Scope iendane na time na cost,inamaana unapodai mafao zaidi wakati wewe ndio ulikubali kuchukua project hiyo mapema inakuwa haijafikia lengo ili kutatua hili suala inabidi kwanza muda wa kukamilika ushachelewesha na kisha ushasababisha hasara au gharama zilizoweza kuepukika kwa sababu tu za sababu za kipuuzi (Fallacies) ndio maana tunakuwa TZ hatuendelei

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...