The brothers Johnson na ngoma ya 'aint we funkin now' wanakumbukwa na wa enzi hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ANKALI UMENIKUMBUSHA ENZI ZETU MATOZI WA LONGI,WAPI MWINYI MANGARA MR WILLDONE,SABRI KUBE,JAGAN BULL,NORMAN WAGE,MUDDY JACK AKA JUMPING JUMPING VUMBI NEVER PERFIUM KIBAO,CHONANGA HARUNA TOHNY KING,PETTY KASAMBULA,JIMY LOVER HUYU ALIKUA ANATOKA MWANANYAMALA UKIMULIZA ANATOKA WAPI BOB AM FROM MAKOCHENI NAKUMBUKA ENZI ZA FANTASTIC GROUP,THREE THE HARD WAY,KIMAMBA FRESH .NK

    ReplyDelete
  2. Mdau anonymous hujakosea kabisa. Wote hao uliowataja wapo except Tony Brown RIP. Ila watu wametawanyika kama vile Mody Jacky na Jargan Bull wako Canada na mimi (Norman Wage) niko UK. The rest kama Mwinyi Mangara Mr Will Don na Sabri Kube bado wako bongo. Wengine wako ma beach tofauti around the world. Jitambulishe basi bro.
    NORMAN WAGE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...