Masalia ya msitu uliopo kwenye kijiji cha Luvulunge wilaya ya Makete mkoa wa Njombe mara baada ya moto kuuteketeza msitu huo ambao mbali na kuwa na miti pia nyaya za umeme wa gridi ya taifa unaotoka mkoa jirani wa Mbeya kuja Makete zimepita katika eneo hili lililoungua
 Nguzo za umeme zikiwa zimeponea chupuchupu kuteketezwa na moto huo.
Mojawapo ya nguzo zilizopo kwenye msitu huo kama unavyoziona, na sipati picha kama zingeungua nini kingetokea?(Picha zote na Edwin Moshi, Makete)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tumshukuru MUNGU hakikutokea chochote. Nadhani ingeleta madhara Makubwa sana.

    Hii inadhihirisha TANESCO walivyo wazembe na miundombinu yoa. Inasikitisha mno. Watanzania tubadilike JAMA. Hata hilo linahitaji YESU arudi duniani kutuhubiria? (Miujiza haipo kwa muda huu) zipalilieni hizo nguzo zenu.

    Ningekua waziri muhusika ningewafukuza uongozi wote wa TANESCO huko.

    Zeb

    ReplyDelete
  2. Huu ni msimu wa mioto maeneo hayo. Nani alistahili kuweka kinga mkuza (fire break) kwa tahadhari hiyo?

    ReplyDelete
  3. Hakuna cha musimu wa moto.elimu bado inahitajika kwa jamii tena nadhani kisomo chenye manufaa au ikibidi jamii nzima ianzie vidudu kabisa aka chekechea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...