Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limesaini ushirikiano na Kampuni ya Uchumi Supermarkets ya nchini Kenya ambapo NSSF itakuwa inajenga majengo ya maduka makubwa na kuwapangisha watu mbalimbali hasa washirika wao hao.
Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano akizungumza katika hafla ya utiliaji sahihi wa ushirikiano na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya NSSF, Abubakar Rajabu akitoa neno wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Human Capital Business Solutions, Khadija Mire.
Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya NSSF, Abubakar Rajabu akisaini nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Human Capital Business Solutions, Khadija Mire.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), akisaini makubalino ya ushirikiano na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ludovick Mrosso (kulia), akibadilishana hati na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Uchumi Supermarkets, Jonathan Ciano.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...