Rais Mh. Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya
utambulisho kutoka kwa Balozi mpya Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka
Italia katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam..
Rais Mh. Dkt, Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Balozi mpya
anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Balozi Dkt. Luigi Scotto(
kushoto) leo Ikulu Dar es Salaam.
Balozi mpya anaewakilisha nchi ya Italia nchini Tanzania Dkt,
Luigi Scotto (katikati waliovaa suti) pamoja na maafisa wakuu wa Itifaki
wakiwa katika wimbo wa taifa.leo katika hafla hiyo ya utambulisho Ikulu
Dar es Salaam
Rais
Mh.Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akisikiliza taarifa ya utambulisho
kutoka kwa Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh, Dkt. Luigi
Scotto (kulia) leo Ikulu Dar es Salaam.
Balozi mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt. Luigi Scotto
akisaini kitabu cha wageni leo Ikulu jijini Dar es Salaam alipokwenda
kuwasilisha hati za
utambulisho kwa Mh, Rais Dkt. Jakaya Kikwete(hayupo pichani).
Bolozi
mpya wa Italia nchini Tanzania Mh. Dkt, Luigi Scotto (kulia)
akisalimiana na baadhi ya maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, leo
katika hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...