Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia
katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mkuu wa Ujenzi wa
Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed,(kushoto) na Mwalimu
Mkuu wa madrasa hiyo Makame Ali Juma,(kulia) pamoja na Viongozi
wengine wakati walipotembelea sehemu mbali mbali za madrasa hiyo baada
ya kuifungua Rasmi leo huko katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya
Kaskazini A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na
Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A
Unguja,Mkoa wa Kaskazini iliyojengwa kwa ufadhili wa wahisani mbali
mbali na Nguvu za Wananchi wenyewe.
iongozi waliohudhuria katika ufunguzi wa Madrasa
Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A
Unguja,(kutoka kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma
Haji Juma,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara
Maalum,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Khamis Haji.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa
Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi,na Waziri wa
Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,nwakiwa katika
hafla ya ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha
Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini
hapo.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kidoti waliohudhuria
katika hafla ya ufunfuzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji
cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini
hapo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza
nao baada ya kuifungua madrasa hiyo.
Wanafunzi wa Madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti
Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakiwa katika sherehe
za Ufunguzi wa Madrasa yao iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...