Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi S.H.Azizi ambaye alifika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga leo,baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi S.H.Azizi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...