Mbuge wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika leo kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Mh Steven amewataka vijana wa Shinyanga kuwa na moyo wa kujituma na kuzifanyia kazi ipasavyo fursa wanazokumbana nazo bila kukata tamaa,ameeleza kuwa hivu karibuni mkoa huo,unatarajia kufungua viwanda kadhaa,ambapo anaamini kuanzia fursa ya kupata ajira kwa vijana itaongezeka.
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Maxmalipo,Bernard Munubi akizungumza kwenye semina ya Kamata Fursa Twendzetu kwa vijana,kuhusiana na masuala mbalimbali yanayofanywa na kampuni yake katika kusaidia huduma za jamii,ndani ya ukumbi wa Shinyanga Vijana Center. 

sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika leo kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center. 

Mkurugezi wa Vipindi na
Uzalishaji Kutoka Clouds Media Groug,Ruge Mutahaba akizungumza sehemu ya wakazi
wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa
vijana,iliofanyika leo kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Ruge pia
amefunga semina hiyo ya fursa kwa vijana mapema loe mchana,ambayo imekuwa
ikiandaliwa na kampuni ya Clouds Media,Semina hiyo imefanyika ndani ya
mikoa takribani zadi ya kumi ikiwemo
Kigoma,Singida,Tabora,Mtwara,Morogoro,Dodoma,Mbeya,Iringa,Bukoba na sasa
ndani ya mkoa wa Shinyanga.
sehemu
ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya
Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika leo kwenye ukumbi wa Shinyanga
Vijana Center.PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...