Wanalibeneke,Jeff Msangi (shoto) na Othman Michuzi (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Sanaa na Utamaduni Bagamoyo,Michael Kadinde (alieketi) wakati Timu ya Michuzi TV ilipomtembelea ofisini kwake ili kufanya nae mahojiano juu ya Mwenendo mzima wa Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo,ambalo kimuonekano linaonekana kupoteza mvuto.Je ni kweli Tamasha hilo limepoteza mvuto kulinganisha na miaka iliyopita??fatilia mahojiano hayo hapo chini ikiwa ni sehemu ya kwanza.
Home
Unlabelled
TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO NI KWELI KWAMBA LIMEPOTEZA MVUTO?? GLOBU YA JAMII YALONGA NA KAIMU MKUU WA CHUO CHA BAGAMOYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Video ina matatizo ya sauti
ReplyDeleteWee anonymous uliesema video inamatatizo ya sauti,kwani husikii kinachozungumzwa??au ndio kujifanya wewe ni profeshno zaidi ya Ankal??
ReplyDelete