SERENGETI FREIGHT
GARI LIMEIBIWA
MAKE: NISSAN NAVARA
MODEL: AVENTURA 
REG : AD07 MWK

TUNAWATANGAZIA NDUGU ZETU WATANZANIA WENZETU KUWA TUMEIBIWA HILI GARI KUTOKA KWENYE OFISI YETU HAPA LONDON 
TUNADHANI KUWA WEZI WA GARI HILI WATAKUWA WAMELISAFIRISHA KWENDA DAR AU ZANZIBAR 
TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAE LIONA KAMA NI  BANDARINI AU HATA BARABARANI ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI CHA JIRANI AU ATUPIGIE MOJA KWA MOJA KWENYE NAMBA ZETU ZIFUATAZO

CHRIS LUKOSI +44 (0) 7903828119
TORNADO - DAR - 0713607116

ZAWADI YA SHS MILIONI KUMI (SHS 10,000,000) ITATOLEWA KWA ATAKAEFANIKISHA UPATIKANAJI WA HILI GARI

ASANTENI SANA 

CHRIS LUKOSI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sasa tutathibitisha vipi kama ni hili? Any details kama Engine number n.k ?Kuweni makini katika kuweka matangazo yenu. Labda mmekosa umakini kama huo ndio maana mkaibiwa..

    Mimi

    ReplyDelete
  2. Kama ungeanika mwaka iliotengenezwa ungetusaidia ili vijana tuanze kuingia barabarani

    ReplyDelete
  3. You may wish to also indicate chassis and engine number to assist retrieval

    ReplyDelete
  4. Wizi mpaka majuu, haya maisha magumu ni kila sehemu! Toa details kama wadau wa hapo juu walivyokushauri.

    ReplyDelete
  5. Kwa maelezo uliyotoa, gari kama hilo yapo mengi sana nchi nzima. Weka details zaidi ili uweze kusaidiwa. Au hamjui hata details za gari mliloibiwa?

    ReplyDelete
  6. Uk kwa wizi....msizani wezi wako Tz tu...nasikia hata vioo wanavunja kuiba vitu vidogo vidogo kama laptop...M=

    ReplyDelete
  7. Kwa nini mnahisi gari hilo limekuja TZ? Je! mnanyaraka zozote zinazothibitisha limekuja TZ? Mbona magari hayo kwa TZ yaliingina siku nyingi na ni mengi kwa sasa. Kutaja engine na chassis namba haisaidii. Cha msingi, mjipange katika utendaje wenu pia utaratibu wa shipping. TZ kwa sasa wameamka mambo si kama mazoea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...