Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Unastahili pongezi Kazi nzuri saana this is what we need to comment on it sio mambo mengine hiyo ni vew nzuri saaana unapashwa kuonyesha mda na tarehe ili ukifanya ivo baada ya miaka mitano tuweze kulinganisha mabadiliko na tabia nchi

    ReplyDelete
  2. This is the most beautiful sunset I have ever seen you are a genius. My son would have love this. Not so many Tanzanians appreciate this kind of art.

    ReplyDelete
  3. Great. Keep it up.

    ReplyDelete
  4. Napenda sana picha za jua linapozama. Umepiga picha nzuri sana. Ahsante.

    ReplyDelete
  5. Yaani nakubaliana na wadau hapo juu kwa kweli mandhari ni nzuri sana na umeipatia kwa picha vizuri.

    ReplyDelete
  6. Nice pics. Weka kwenye frame,clothing art,kitenge etc. fanya biashara,very unique print,try it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...