Wanaharakati wa mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP) wakiwa katika maandamano ya miaka 11 ya tamasha la TGNP nchini na maadhimisho ya miaka 20 ya harakati za ukombozi wa mwanamke
Na Francis Godwin Blog
WANAHARAKATI wa mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) wamefanya maandamano makubwa ya kuazimisha miaka 20 katika kupinga vitendo vya ufisadi pamoja na ukandamizaji wa wanawake .
Huku mtandao huo ukidai kuwa umejipanga kuendeleza mapambano ili kuwawezesha wanawake wa pembezoni kuchukua madaraka ya uongozi katika chaguzi mbali mbali ili kusaidia kuwakomboa wananchi wa pembezoni .
Msisahau kumkumbusha huyo dada kuwa aseme "no" kwa ngono/zinaa. Wapenzi hupoteza muda wa kujisomea na kujiandaa na mitihani. Hiyo ni mbali na magonjwa ya zinaa (kupoteza muda na pesa kwa matibabu) na mimba (kulea na kukuza na kuahirisha shule). Hamna mda wa kupoteza, dunia haisubiri umri.
ReplyDeleteMsimfanye msichana huyo hana akili, anazo.
Msimfanye awezeshwe, akiwa siriazi aweza mwenyewe.
Girls rock!!!!!!