Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, kepteni wa timu ya vijana ya wasichana wa Artel Rising Stars,Stumai Abdallah timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wasichana mchezw Mpira Kama Wachezaji Wasichana na isiwe sasa mkawa mmeota mapembe mkaanza kuwekana Kinyumba na Kusagana !

    Zingatieni Maadili kwanza!

    ReplyDelete
  2. Wasichana mcheze Mpira Kama Wachezaji Wasichana na isiwe sasa mkawa mmeota mapembe mkaanza kuwekana Kinyumba na Kusagana !

    Zingatieni Maadili kwanza!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...