Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la
Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa Afrika Bw.Perin
Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana
nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa
Shirika la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa
Afrika Bw.Perin Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na
Ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la
Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa Afrika Bw.Perin
Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana
nao leo asubuhi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...