Home
Unlabelled
Ushauri Wa Kuepukana Na Msongamano Mkubwa Wa Magari Na Ajali Nyingi Eneo La Mlimani City kutoka kwa Mdau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Suluhisho ni kuondoa roundabout na kuweka taa za kuongezea magari.
ReplyDeleteSimple!
Wazo ni zuri,asante kwa ushauri pia,usikute huyu mtoaji ushauri huu wala hana taaluma ya uandisi lakini katoa mawazo mazuri tu,ni mara chache kusoma ushauri kama huu ukitolewa na wataalamu wetu,sehemu hatarishi zipo nyingi mno ktk jiji la Dar es salaam na hata kwengineko,mara nyingi huwa tunashuhudia hasira za wananchi kwa kuyazuia magari ili walau wapatiwe tuta kuepusha ajari.Waandisi wetu, wanapaswa kuyaangalia maeneo hatari kama hili la huyu mzalendo aliejitolea na hata mengineyo kisha kuyatolea ushauri ili wahusika wachukue tahadhari,sio tu kulialia mpewe kazi za ndani sawa na wachina.
ReplyDeleteNamshukuru mtoa hoja hii, imekuwa ni tabia ya wengi kulaumu au kutupia lawama zao kwa vyombo husika badala ya kutoa ushauri unaweza kuleta jawabu la matatizo mbalimbali katika jamii. Mtoa mada amelenga katika kuleta suluhu la tatizo katika eneo husika, nami namuunga mkono kwa dhati. Na pia nawatia moyo wote wenye mapenzi mema na nchi yetu kutoa maoni yenye tija kwa ajili ya ustawi wa taifa letu. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza:Kuhusu taa za kuongezea magari... mara ngapi umeona taa hizo zinaheshimiwa hapa Dar? Aidha; mara nyingi sana askari inabidi ainbgilie kati - na kuanza kuongoza mafari. Nadhani mawazo ya Mndeme ni practical zaidi.
ReplyDelete