Naibu waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuk i(wa tatu kushoto) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama cha wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, tarehe 24/09/2013.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki (kushoto) akipokea kikombe cha chai kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 24/09/2013. Kikombe hicho kinapomiminiwa chai kinatoa ujumbe maalum kuhusu haki za wafanyakazi wa majumbani. Anayeshuhudia ni mwakilishi kutoka ILO ambaye alihudhuria uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...