Makamu wa Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini-TBF Ndg. Phares Magesa akiwa na baadhi ya wachezaji nyota vijana wa timu ya Taifa ya Kikapu ya Tanzania ambao wanatarajiwa kwenda Marekani mwezi wa kumi kwa ajili ya kambi ya Mafunzo katika Chuo Kikuu Cha Post-Connecticut, mafunzo hayo yataendeshwa na Kocha Albert Sokaitis akisaidiwa na Kocha Sconniers. Tuwasaidie VIJANA wetu kwa hali na mali ili washiriki vizuri Mafunzo hayo. |
Home
Unlabelled
VIJANA 14 Nyota wa mpira wa kikapu wajiandaa kwenda USA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mafunzo yanaitwaje? na muda gani wa hayo mafunzo?
ReplyDelete