Mdau RICHARD MTAITA NA VICTORIA YONGOLO wakiwa amepozi na mwandani wake mara baada ya kumeremetA katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri usharika wa Makorola na kufuatiwa na mnuso wa nguvu kwenye hoteli ya Regal Naivera Jijini Tanga. Bwana harusi ni Mfanyakazi wa Mamlaka ya majisafi na Majitaka Tanga-Uwasa wakati bibi harusi ni mhitimu wa Chuo cha Mipango Dodoma. Picha na Mashaka Mhando
Home
Unlabelled
wadau richard na victoria wameremeta Tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...