Anajiita Mzee wa Mahaba kutoka Manzabay,Cassim Mganga akiwaimbisha mashabiki wake kwa shangwe huku mayowe yakitawala kila kona ya uwanja wa Kambarage usiku huu ndani wakati tamasha la Serengeti fiesta likiendelea kurindima usiku huu.
 Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Rich Mavoko akiimba jukwaani usiku huu sambamba na madensa wake (hawapo pichani). 
  Baadhi ya wakazi wa mji wa Shinyanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga,ambapo tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea kufanyika.
Mwanadada Linah akiimba sambamba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Kambarage,mkoani Shinyanga usiku.
 Mwanadada ambaye kwa sasa ameonekana akifanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2013,Neylee akiwaimbisha mashaniki wake (hawapo pichani).
 Mwanadada Shilole na madensa wake sambamba na shabiki wake pichani kulia,wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani Shinyanga.
PICHA ZAIDI LIVE INGIA MICHUZIJR.BLOGSPO.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Watanzania wenzangu kuweni makini sana na mikusanyiko ya namna hii. Dunia imebadilika hatuko huru tena kama zamani. Watu siku hizi wana visa vya aina nyingi. Nashauri mpunguze kuhudhuria hasa kama hamna uhakika na usalama wenu.

    ReplyDelete
  2. mdau 1.hapo juu:
    Hatuna saababu ya kuishi kama wanyonge katika nchi yetu wenyewe, tutawapa nafasi wafanya maovu kujiona wamefanikiwa malengo. Muhimu ni kuwapa uwezo wote idara za uhamiaji kutozikeuka sheria kwa wahamiaji na vyombo vya idara ya ulinzi kulinda ndani na nje ya mipaka ikiwezekana sheria za ulinzi kama ughaibuni zitumike kwa kuulizwa vitambulisho kila wakati
    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete
  3. mdau nakuunga mkono ni kweli siku hizi hatuna uhuru kama zamani mimi pia nashauri mikusanyiko isiyo ya lazima watu waachi kabisa kulika kupoteza maisha bora kuzuia kuliko kuponya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...