Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyeketi katikati akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya Maendeleo ya Operesheni Kimbunga ili kuwabaini wahamiaji haramu inayoendelea hapa nchini, wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mbarak Abdulwakil na wa kwanza kutoka kulia ni Kaimu Kamishna wa Uraia na Passpoti Victoria Lembeli.
Home
Unlabelled
Waziri Nchimbi akutana na wanahabari leo kutoa taarifa ya Maendeleo ya Operesheni Kimbunga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mambo mengi yanawezekana Tanzania.Tunamshukuru mh Raisi kwa shughului hii kwani ni kweli dunia si tulivu siku hizi usiwe mwisho na wanaokebehi zoezi hili wapewe elimu ya kutosha ila kero nyingi ziwekewe mikakati kama hii kwa mf madawa ya kulevya ,Rushwa nk kwani tunaamini uashi wa kisiasa ukiwepo mambo mengi tunayaweza tu.God bless JK
ReplyDeleteAsante mdau wa kwanza. Nakuung amkono mia kwa mia.
ReplyDeleteTAHADHALI:KURASINI NA MBAGALA RANGI 3 MBONA KUNA WASOMALI WENGI SANA NA WENGINE WANAJIFUNGIA NDANI INAMAANA MAJESHI YETU YA USALAMA HAWAYAONI?NAAMINI KABISA 90% NI WAMIAJI HARAMU,TAFAKARI VYOMBO VYA ULINZI
ReplyDeleteHakuna uhalifu unaofanywa TZ bila kuwa na mkono wa mzito. Wale wanaojifungia kama msemaji wa tatu alivyobaini, wako nyima ya mgogo.
ReplyDeleteWenye vigogo watabaki na watendelea kuleta tafrani.
Wewe umejuaje 90% ya hao wasomali ni wahamiaji haramu? Hujui kuwa wanaweza kuwa watanzania? ama wakenya ama wanaishi na visa nchi hii wakiwa na passport za ulaya. Unless you have evidence which i very much doubt it then your certainly in no position to make undfounded accusation. Ubaguzi si mzuri nyerere alisema. Rangi haikufany raia so acha ku judge watu
ReplyDeletehaya mambo ya kadi ndio yatatibua amani Kenya wana kadi hizi tangu uhuru lakini hakuna amani haya tuone hizi pesa mngeboresha elimu.
ReplyDelete