Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira akikagua majengo ya shule ya sekondari ya Chienjere alipokuwa akikagua miradi ya Tasaf kwa mkoa wa Mtwara na Lindi
 Jengo la Utawala la Shule ya Sekondari ya Kata ya Chienjere wilayani Ruangwa lililojengwa kupitia mfuko wa TASAF
 Jengo la kiwanda kidogo cha Akina mama wa kata ya Mbekenyera waliojiunganisha pamoja katika kikundi cha Azimio na kuanza kubangua korosho kwa mashine za mikono
  Wanakikundi wa Azimio-Mbekenyera walipotembelewa na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira   katika Jengo ambalo wamepata kupitia mfuko wa Tasaf
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira  akihutubia wananchi wa Mbekenyera

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...