Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu(kulia)akimkabidhi kombe la Udhamini Mkuu wa Maonesho ya wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji,Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M - Pesa wa Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga(Kushoto) wakati wakufunga maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu,akimsikiliza Mkuu wa Idara uendelezaji biashara ya M - Pesa wa Vodacom Tanzania, Jackson Kiswaga akimwelezea jinsi huduma ya M pesa kupitia Mradi wa Mwei inavyowawezesha wajasiriamali wanawake kupata mikopo isiyokuwa na riba katika maonesho ya wiki ya huduma za kifedha na Uwekezaji,mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...