Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) akielezea jambo kwa wakazi wa Kimara, jijini Dar es Salaam.ambao ni wanawake wajasiriamali zaidi ya mia moja(100) waliopokea mikopo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane isiyo kuwa na riba,inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia Mradi wake wa MWEI.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania(katikati)akitoa muongozo kwa Wakina mama wajasiriamali wadogowadogo wakazi wa Kimara jijini Dar es Salam,waliofika katika Ofisa ya Serikali ya mtaa Michungwani Kimara,kuchukua mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa MWEI zaidi ya wanawake mia moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane kupitia mradi huo.
Baadhi ya Wakina mama wajasiriamali wadogowadogo wakazi wa Kimara jijini Dar es Salam,waliofika katika Ofisa ya Serikali ya mtaa Michungwani Kimara,waklisubiria kupatiwa mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa MWEI zaidi ya wanawake mia moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane kupitia mradi huo.
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) akimwelezea jambo mkazi wa Kimara, jijini Dar es Salaam. Bi. Beatrice ambaye ni mmoja kati ya wanawake wajasiriamali zaidi ya mia moja(100) waliopokea mikopo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane isiyo kuwa na riba,inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia Mradi wake wa MWEI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...