Meneja Masoko wa Kampuni ya Intermech Engineering Ltd, David Chisawilo ( kulia) akimwonesha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Benderai ( kaikati) , mashine ya kupukucha mahindi inayotumia mkono inayotengezwa na Kampuni hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Bendera ( kushoto) akipata maelezo kutoka wa viongozi wa Kiwanda cha Magunia TPM ( kulia) kuhusu tatizo la soko
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wapili kutoka kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TTPL, Paul Grossan ( wa kwanza kushoto) kuanagalia uchambuaji wa tumbaku
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Bendera ( watatu kutoka kulia) akiangalia utengenezaji wa magunia ya mkonge katika kiwanda cha Magunia Morogoro
| Dada akiwa kazini katika kiwanda cha magunia |
Usokotaji wa kamba za mkonge. Picha na maelezo na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro


Hapo kwenye magunia Mkuu wa Mkoa kavaa mask lakini wafanyakazi wanaopata vumbi la magunia kila siku wako kapa.
ReplyDeleteChe