Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu (kulia) akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya shule ya msingi Nkenja wilayani Makete, kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Makete Francis Chaula(Picha zote na Edwin Moshi) |
Viongozi wa CCm wilaya ya Makete wakikagua chumba cha darasa wanachosomea wanafunzi wa darasa la tatu na la nne kwa pamoja
Katibu wa CCM wilaya ya makete Miraji Mtaturu, mwenyekiti Francis Chaula na diwani wa kata ya Kitulo Mbosa Tweve wakisikiliza maelezo kutoka kwa mkuu wa shule ya msingi Nkenja Hester Mahenge ofisini kwake
Viongozi wa CCM wakikagua ujenzi wa madarasa unaodaiwa kusuasua, mwenyekiti wa CCM wilaya ya makete (katikati) akizungumzia ujenzi huo
darasa wanalotumia wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili kusomea
Turubai linalotumika kama bati kwenye jengo hilo
Vyumba viwili vya madarasa ambavyo vinafaa kwa matumizi shuleni hapo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...