Judge Steven Bwana (centre) from Tanzania accompanied by his wife Angelika Bwana in Official tete-atete through video conference with a Panelist of Judges in Cambodia. Looking on is WFP Representative and Country Director, Mr Richard Ragan, who was acting as the UN Resident Coordinator during the Sworn in Ceremony held at WFP Headquarters in Dar es Salaam.
Above and Below is Judge Steven Bwana Officially Sworn in as International Reserve Judge in Extraordinary Chambers in the Courts of Cambodia (ECCC) through video conference today in Dar es Salaam.
Panelist of Judges from ECCC following up the Official Sworn in of the Judge Steven Bwana through video conference.






Hongera Mh Jaji kwa kupewa majukumu haya mazito kutokana utendaji wako uliotukuka.
ReplyDeletePia tunaona jinsi tekenolojia mpya ya mawasiliano inavyoweza kupunguza gharama/marupurupu safari za wakubwa wengine kwa kutumia video-conference ''kujifunza, kupata uzoefu, warsha, semina,kongamano, Brain-storming'' n.k
Hongera sana Mheshimiwa Daktari Jaji Bwana,unastahili nafasi hiyo.Nimesoma mahali kwamba ni Jaji mstaafu,ikiwa ndivyo serikali iangalie upya umri wa kustaafu kwa majaji. Watu siku hizi wanaelewa kuishi kwa afya (chakula na mzoezi) kwa hiyo miaka 70 watu bado wana nguvu.Waongezewe umri wajenge Taifa kwa sababu hata wakistaafu mapema bado wanaendelea kulipwa maisha yote.
ReplyDeleteIngekua serikali ingetafutwa safari ili aende kuapishwa.
ReplyDeleteHONGERA SANA JAJI DR. BWANA KWA HESHIMA KUBWA ULIYOPEWA. KWELI UNASTAHILI SANA, NIMEFANYA KAZI NAWE KWA MIAKA MINGI YA NYUMA NAFAHAMU UTENDAJI WAKO WA KAZI. HONGERA SANA.
ReplyDelete